Matokeo Yatapatikana Jumamosi

Tunawashukuru sana  wote walioshiriki katika shindano hili la mwaka 2013. Kutokana  na kura kupokelewa kwa wingi sana sana na tulitumia ballots za aina mbili (polls na survey), matokeo ya mwaka huu yatapatikana hapa Jumamosi.. 
Shukrani


4 comments:

Dvj SweetP said...

ahsante sana, tunashukuru, kwa kazi mnayoifanya, ni msaada tosha kwa bloggers tanzania

emu-three said...

Natumai nyie mtaweza kujenga umoja wa blogs za Tanzania, kwani sehemu kubwa mumeshaifanya, ya kuzitkusanya blogs zote, na kujua ni nini kila blog inafanya, na sehemu ya pili ni kupanga taratibu na katiba.

Calvin Lema said...

shukràñ sana wakuuu pamoja.

Anonymous said...

Hivi mwaka huu kuna zawadi yoyote kwa washindi