#BATA Awards

Okay guys zimebakia siku 14 tu..Miezi miwili ya mapendekezo ndio hivyo inakaribia kwisha. 

WOW! Tunashukuru wale wote waliochukua muda wao kupendekeza majina ya blog mbalimabli. Week hii watu waliopendekeza majina ni wengi sana sana. Tunashukuru kwa hilo na pia

Sasa kwa vile tuko karibuni kupiga kura blog hii itachangamka na tutakua tunapost mambo mengi mara kwa mara. sasa, Tuliamua tukae pembeni tusiwachoshe watu na kupost yale ya muhimu tu. 

Lakini miezi miwili ya kupendekeza majina ni mingi sana. Tuliamua kuweka hivyo ili kuondoa lawama ila mwaka kesho tutapunguza muda iwe mwezi mmoja tu au hata week tatu. 
Sasa yimeamua hashtag yetu kwa Twitter itakua #BATA Awards..kama unataka kufuatilia nini kinandelea utatupata kwa tag hiyo

No comments: