Nominations form a new milestone

Sorry guys this week we were not able to post a new list of all the nominees as we have promised but we are pleased to announce that our nomination form has reached 500 unique people. This is just a big achievement to us and thanks to all who have shared this form with others..Most of the people who opened our nomination form they went and look at our direction list and that is what make us more happy.. We keep on advertising  our beautiful Tanzanian blogs.. . 

We have few things we would like to ask people though:-
1. Please do not spam the nominations form. There are few people who fill the form over and over and over again in a matter of just few seconds. I know we didn't make the rules as to how many times one could fill the form per day but we assumed people would use common sense. Filling the form over and over and select all the categories without even take a minute to think what the blog you are nominating fit the most is just not right. There is no way one blog topics are able to cover all the categories in the 80%. The form states clear that you can choose up to three (3) categories only.. Please you can enter up to 3 categories max at one time or that will result your blog to be disqualified. As of today if you want your blog or the blogs you would like to nominate to enter on our contest please try to follow our rules.

2. As we have mentioned on our rules, votes that left randomly on comments will be ignores…We have tried our best but do not guarantee your vote to be counted if you leave it on a comment box..It takes just two minutes to fill the form

3. Don't ever think your insult comments to other bloggers who have been nominated so far will be aired. You are just wasting your time. If you don't see the blog you like or that you read everyday nominated it is not the fault of other blogs that have been nominated. It is your responsibility to nominate the blog you like. Don't just sit and expect the miracles..If you don't act don't complain..

6 comments:

emuthree said...

Tuweke sawa hapa: Watu wengi wanavyojua ni kuwa ukishajaza hiyo fomu mara moja,inahesabika kama kura moja.
Kwahiyo wengi walikuwa wakirudia kujaza hiyo fomu mara nyingi, wakijua kuwa ndio wanapiga kura nyingi...unavyojaza mara nyingi ndio kura zinakuwa nyingi...(LUGHA)

Kumbe sivyo hivyo,au sio...hapa ni sehemu ya kupendekeza blog tu, sio sehemu ya kupiga kura,au sio?

Na hili ni ombi la wengi,kuwa nia kubwa ni kuendeleza blog za Kitanzania,ambazo nyingi ni za kiswahili,na wapenzi wake wengi ni watumiaji wa lugha hii ya kiswahili....kwahiyo kila jambo wanaomba lielezwe kwa lugha yetu ya Kiswahili, ni ombi hilo nimelipokea, nami nimeliwakilisha kwako
Shukurani na akzi njema.

Admin said...

Well, sio kuwa umekosea. Ni kuwa wenye kura nyingi ndio watakao ingia. Lakini kuna watu wanapiga kura na kuchagua vipengele vyote. Sasa sisi tuanashindwa kujua hiyo blog imependekezwa kwa kipengele gani haswa.

Na pia sijui wanatumia software gani..blog inapendekezwa kwa dakika 1 mara 30. Sasa hapo inaonyesha kuna kitu huyo mtu anatumia kupendekeza blog anazotaka na hiyo itawaondolea uhalali wale wanaoingia na kujaza form na kujua wanachofannya. Hicho anachotumia hakichagui kipengele bali inajaza vipengele vyote.

Abdallah Majid Nassor said...

Emu Three nakuunga mkono hoja yako ya Kiswahili. Nadhani msimamizi wa blogu hii atarekebisha.

Unknown said...

KWA SISI AMBAO TUMESHAPENDEKEZA BUT MAJINA NDO HAMJATOA TUFANYEJE? THEN TUMIENI KISWAHILI NA SIO ENGLISH.

Bugango Border said...

wanaotoa matusi na kashfa ni wajinga tu...kwanza inavyoonekana blogs zenye majina makubwa hapa nchini wala hazijishughulishi kuweka badges za kuomba kupendekezwa...sasa ningeomba moja ya sharti la kupendekezwa blog fulani ni lazima wawe wemeweka badges zinazoonesha wanataka kupendekezwa katika vipengele vipi..kama hawajaweka badges halafu hapa wamependekezwa na wasomaji wao wakati wao hawana mpango wa kushirki basi blogs zao ziondolewe kuwapisha wale wenye nia na hamasa ya kushirki...na nimegundua kuwa kwa kuwa shindano mwaka jana halikuwa na zawadi basi wanapotezea. wengine sie zawadi siyo dili kubwa kikubwa ni heshima tu. ni maoni tu

Admin said...

Asanteni sana kwa maoni yenu.

Kuhusu kiswahili najitahidi sana kuweka vitu vingi kwa Kiswahili na kiingereza ila mara nyingi huwa natumia simu ya mkononi kushughulikia hii blog na kama unavyojua kuandika kwa kiswahili kwa simu ya mkononi na auto spell correction inachukua muda zaidi kuliko kuandika kwa English. Lakini kila nikipost kitu nikipata muda wa kuwa kwenye computer ndio najitahidi kuweka kwa Kiswahili...

Kuhusu washiriki ni wale tu walioweka badge zetu labda tutazingatia hayo mwaka kesho Mwenyenzi Mungu akutujalia. Tukibadilisha sasa hivi sheria katikati ya shindano itakua sio fair kwa wengi. Na nakubaliana na hilo kwa vile mwaka jana nilipata kazi kweli ya kuwasiliana na bloggers waliopendekezwa humu kuwauliza kama watataka kushiriki au la hivyo kwa kwa kuwa na badges itasaidia sana kufahamu nanai anataka kushiriki na anani hapendi.

Mafanikio ya hii award sio aina ya majina ya blog zinazowekwa humu bali idadi ya blogs zinazoshiriki katika shindano letu na idadi ya blogs mpya zinazoanzishwa au kufufuliwa kutokana ana kuhamasishwa na hii award....Na pia kuwa na jina kubwa sio kuwa na loyal readers. Loyal readers wnapenda sana kuisaidia blog ya mtu kuitangaza au kukua kila wananpopata opportunity. Kama huna loyal readers basi unajikuta unatumia nguvu nyingi sana kuwakeep hao readers. Lakini chochote mtu anachofanya hakita kuwa enough ikitokea jambo dogo tu au kutofanya kama hao wasomaji wanavyotaka basi watakimbia wote bila kuaga..