Finalists, Winners and Runners Up Badges

Hongera wote walioshiriki katika shindano hili. Tunafurahi kuona ushirikiano wenu na tunafurahi kupokea ushauri kutoka kwenu. Na kama una jambo ambalo unafikiria litaweza kuboresha shindano hili hapo mwakani usisiste kututumia maoni yako. Pia tunafurahi kuwa tumepata emails za watu binafsi na shirika moja tayari wameshatuandikia kuuliza maswali kwa nia ya kutaka kuwa wadhamini wa shindano hili hapo mwakani. Hivyo Mungu akijalia tunategemea mwakani itakua big and better na hata kuweka venue ya kutangaza washindani.

Wote walioingia kwenye finalist, winners and runners up. Tutawatumia kwa email badges zenu na maelekezo jinsi ya kuweka. Sio lazima kuweka kama unataka koonyesha your pride it's  okay,  if you don't feel like doing that it's all well too...

























No comments: