Badges za kutangaza kwa wasomaji

Unaweza kuchukua hapo pembeni ambazo ni ndogo au ukachukua picha hizi hapa na kuweka kwenye blog yako upendavyo. Kama unahitaji size tofauti basi utuandikie na tutajitahidi kutengeneza.


Jinsi ya kuweka kwa blogger platform
Nenda kwenye dashboard
Design
Add a gadget
Tumia add HTML/JavaScript na copy badge unayotaka na kupaste kwenye hii sahemu.
Save umemaliza

Word press
Dashboard
widgets
text widgt
Copy na kupaste
save

Hizi picha ni picha za kawaida unaweza kudownload na kuweka kwenye mahali popote kwenye blog yako unapotaka. Zote ni sawa ila hizi badges/buttons ni kubwa kuliko hizo zilipo hapo pembene.

Okay swali tulilopokea leo ...Je ni lazima kila mtu anayeshiriki kwenye shindano hili kuweka hizi badges/ buttons kwenye blog yake?

Jibu: Hapana sio lazima kabisa ila kama unashiriki na unataka wasomaji wako waje kukupigia kura huku hii njia ndio tumeona ni rahisi na mojawapo ambayo itaweza kuwaeleza wasomaji wako kuhusu kushirki kwako. Lakini kama unajua njia nyingine ya kuwaambia wasomaji wako wakupigie kura basi tumia hiyo. Hii ni kwa wale wangependa kuwaelezea wasomaji wao kuhusu kushiriki kwao katika shindano hili bila kuwabugudhi. 
No comments: