Nomination Form

Tunashukuru kwa kutaka kujaza form hii ili kupendekeza majina ya blogs za kushiriki katika shindano hili. Tungependa kukwambia kuwa muda wa kupendekeza majina kwa mwaka huu umemalizika. Hivyo tafadhali usitumie hii form tena kuendekeza washiriki wa mwaka huu 2011.Tukutane tena hapo mwakani sasa hivi tushirikiane katika zoezi la kupiga kura kwa blog zilizopendekezwa litakaloanza tarehe 25 June 2011 na kumalizika tarehe 9 July 2011

Shukrani



11 comments:

mihayotheprince said...

I like the program cause it's going to give us a motivation to grow up in good and hot news which is suitable for all ages!

mihayotheprince said...

I like the program cause it's going to motivate us to grow up in good story wrtting which will be suitable for all ages!

Pauline said...

Thanks and that is why we're here for. We're trying to motivate, encourage and support Tanzanian bloggers from all walks of life.

Anonymous said...

Hizi huwa nazipitia lakini sizioni humu www.wanamuzikiwaanzania.blogspot.com, www.musicintanzania.blogspot.com,www.johnkitime.blogspot.com.......au hazifai

Pauline said...

Hizi unataka ziwekwe kwenye DL au mashindano


Kama ni mashindano basi jaza hiyo form hapo juu uweke kwenye kipengele unachoona hiyo blog inastahili kushindana. Kama ni kwenye DL www.wanamuzikiwaanzania.blogspot.com --blog not found sijui umekosea kuandika..

Pauline said...

Okay, Never mind...Nimejaribu Wanamuziki Wa Tanzania nikapata,....Naona uliandika Azania...Basi nimeshaiweka...

Youth Technology Initiative said...

Kp it up

Anonymous said...

@Admin:: hongera kwa kazi nzuri!! Mungu azidi kuwabariki na kuwa zidishia hekima.

Nina kaombi kadogo,kama utaweza ingekuwa njema ukiiongeza blog hii pia kwenye DL kmanaseh.blogspot.com inaaweka matukio mengi yaliyogusa jamii pasipo mategemeo mfano:mabomu mbagala,sabodo na Chadema nk.

Admin said...

Asante kwa maneno yako mazuri. Nimeiweka na kama unataka kuipendekeza katika mashindano basi tafadhali jaza hii form hapa.

Asante Sana.

Anonymous said...

iv nominated nuru the light as best beauty and fashion blog..,

Anonymous said...

When is the last date to nominate and when 'r we going to know the winners??