tag:blogger.com,1999:blog-182521689019734478.post8664603435439032977..comments2023-07-19T09:32:54.827-04:00Comments on Tanzanian Blog Awards: Tunapokea maoniUnknownnoreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-182521689019734478.post-31561491940571594282012-06-24T10:35:02.418-04:002012-06-24T10:35:02.418-04:00mimi kama mimi ,nilikua sifahamu kama kuna mashind...mimi kama mimi ,nilikua sifahamu kama kuna mashindano kama haya, hivyo basi nimejaribu kufatilia kwa umakini kila kipengele na washiriki nimeona wote wapo sahihi,na wadeserve kule walipo pangwa...hivyo basi kama mimi pia ni Upcoming blogger naejitegemea ,pia na mwenye umri mdogo napenda kutoa maoni yangu kua msitusahau na sisi tunaoanza katika industry hii ya Tanzania blog, mnaweza kuicheki kwa kuitafakari blog yangu kwani imeBase katika habari za entertainment zinazohusu hapa kwetu na pia nje ya nchi... me binafsi ni graphics designer,,,asante
BLOG YANGU ni www.mfumunation.blogspot.com na pia nimeDesign na kuipanga kimuonekano blog hii www.liberatus-apparels.blogspot.com ....
SHUKURANI NA NATUMAI HAMTATUSAHAU TULIOPO CHINI...MfumuTzeNationhttp://www.mfumunation.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-182521689019734478.post-75731166454500040492012-06-23T19:04:29.832-04:002012-06-23T19:04:29.832-04:00hivi mbona kuna blogu nyingine hamzijui. hamwoni k...hivi mbona kuna blogu nyingine hamzijui. hamwoni kwamba imefikia wakati kuwahamasisha wenye blogu nao wajiandikishe kwnu ili mwafahamuMc FRhttps://www.blogger.com/profile/17805973666015067536noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-182521689019734478.post-55388092330499950232012-06-21T02:50:21.937-04:002012-06-21T02:50:21.937-04:00Maoni yangu yanaangukia kwenye vipengele vya blog ...Maoni yangu yanaangukia kwenye vipengele vya blog ipi uiweke mahali gani,

Mimi nionavyo blog nyingi huandika mambo tofauti tofauti, licha ya kuwa imeandikwa labda blog ya urembo, au blog ya michezo,lakini kila mtu anajaribu kuweka kila kitu.

Labda hivi vipengele tungejaribu kuviweka vyema, ili angalau mtu akisema blogyangu ipo kwenye kipengele hiki iwe imekidhi haja.

Na utamaduni wetu unaotuwakilihsa sote kama Tanzania, ni lugha ya Kiswahili , ni vyema nyie mliopo huko nje mkakitangaza kwa kila hali, sijui labda ni kutokana na mitandao yenyewe kuwa imejengwa kitofauti na Kiswahili.

Kwa maoni yangu hata haya makundi yaandike tu kwa Kiswahili, mfano;

1.Blog za uandishi wa hadithi na visa

2Blog za michezo na burudani

3. Blog za habari na matukio

4. Blog za urembo na warembo
5 Blog za miziki na utamaduni.

6. Blog za dini na imani

7 Blog za vichekesh na katuni

Na vitu kama hivyo.

Ni hayo tu kwa leoemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.com