tag:blogger.com,1999:blog-182521689019734478.post5315163307007251616..comments2023-07-19T09:32:54.827-04:00Comments on Tanzanian Blog Awards: Majina Yote Tuliyopokea Shindano la Mwaka 2012Unknownnoreply@blogger.comBlogger8125tag:blogger.com,1999:blog-182521689019734478.post-39520656000887106242012-06-27T14:01:35.003-04:002012-06-27T14:01:35.003-04:00Blog nyingi za bongo ni kucopy na kupaste tu. Zian...Blog nyingi za bongo ni kucopy na kupaste tu. Zianfanana sana habari hizo hizo..Ukisoma blog moja wala huna haja ya kupitia nyingine kwa siku kwa sababu habari zinahamia kutoka kwenye blog moja kwenda nyingine.Stella Tnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-182521689019734478.post-17455797235021921382012-06-23T10:25:08.196-04:002012-06-23T10:25:08.196-04:00aisee inabidi muangalie kwa umakini kabisa maana z...aisee inabidi muangalie kwa umakini kabisa maana zaidi ya asilimia 85 ya blog za bongo mchezo ni Kucopy na Kupaste, habari moja iko kila blog kasoro picha ndo tofauti,inaboa. www.darslamproductions.blogspot.comDarSlamhttps://www.blogger.com/profile/13657758954473493082noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-182521689019734478.post-91462002356479540452012-06-18T13:03:46.365-04:002012-06-18T13:03:46.365-04:00jinsi gani naweza kumpigia mtu kura...?jinsi gani naweza kumpigia mtu kura...?Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/01616054534366589450noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-182521689019734478.post-42070407890474419802012-06-05T08:04:31.241-04:002012-06-05T08:04:31.241-04:00zoezi la kupiga kura linaanza lini na ushauri wang...zoezi la kupiga kura linaanza lini na ushauri wangu tu lichukue muda mfupi na ikiwezekana hata wiki mbili au tatuJosephat Lukazahttps://www.blogger.com/profile/07877410047486082141noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-182521689019734478.post-57623941323014210392012-06-04T16:43:00.581-04:002012-06-04T16:43:00.581-04:00Haya twasubiri tuone nani kapita ktk kinyang'a...Haya twasubiri tuone nani kapita ktk kinyang'anyiro cha mwaka huuAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-182521689019734478.post-38245337923282032952012-06-03T02:11:38.464-04:002012-06-03T02:11:38.464-04:00Ni kweli kabisa, maana unaweza kutafuta kitu au ta...Ni kweli kabisa, maana unaweza kutafuta kitu au taarifa fulani wakati blogger mwenzako anayo, hii list ni muhimu sanaBennethttps://www.blogger.com/profile/08960029434137064419noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-182521689019734478.post-9232696249934465912012-06-02T14:19:46.852-04:002012-06-02T14:19:46.852-04:00Sikujua kuwa kuna blog nyingi hivi za watanzania.Sikujua kuwa kuna blog nyingi hivi za watanzania.Jumanne Iddinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-182521689019734478.post-62590316331709374202012-06-02T13:02:17.686-04:002012-06-02T13:02:17.686-04:00Tunashukuru kwa hii taarifa, kungekua na jinsi, tu...Tunashukuru kwa hii taarifa, kungekua na jinsi, tungelipenda na sisi hii orodha yote tuweke kwenye blog zetu, ili tujusne, na kujua nini mwenzako kaandika au kutoka kwenye kijiwe chacke, Ni Vyema tukawa wamoja katika tasnia hii. Tunashukuru sana Mpendwa kwa kweli umetuwezesha, na huenda kwa hili tukajuana vyema.emu- threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.com