tag:blogger.com,1999:blog-182521689019734478.post1258941980007817247..comments2023-07-19T09:32:54.827-04:00Comments on Tanzanian Blog Awards: Featured Blogger - Sweetbert PhilemonUnknownnoreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-182521689019734478.post-82293058013705493302013-03-18T05:38:23.458-04:002013-03-18T05:38:23.458-04:00Nilikuwa na maana kuwa kila wiki unamtambulisha mw...Nilikuwa na maana kuwa kila wiki unamtambulisha mwanablog wa wiki, au sio, huyo mwanablog akishajielezea hivyo kama ulivyomtahini, sasa wiki hiyo yake, anakuwa hewani, na anapata maswali toka kwa wanablog wenzake moja kwa moja.<br /> Kiujumla umeshanijibu swali langu, ila nilikuwa naelezea ni nini nilikuwa nimekusudia. <br /><br />Shukurani mpendwa.emuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-182521689019734478.post-18423792688850080642013-02-08T21:21:21.783-05:002013-02-08T21:21:21.783-05:00Hi Emu three ijakuelewa swali lako. Uamaanisha kuw...Hi Emu three ijakuelewa swali lako. Uamaanisha kuwakutanisha wanablog online? I guess hapo ni watu wakipenda na kuanza kuzoeana....huwezi waambia watu wakutane kama hawajuani au hawana interest..but I know G+, meeting plus etc mnaweza kutana online watu kama saba mara kwa mara moja. Ila kwa tatizo la Tanzania ni cost za data ni nyingi...Skype au G+ sio cheap....kama sijakujibu swali lako hebu uniambie zadia...Tanzanian Blog Awards Adminnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-182521689019734478.post-92202622029300493432013-02-08T16:39:59.336-05:002013-02-08T16:39:59.336-05:00Thanks Much. Tanzania Blog Award, mnatoa support k...Thanks Much. Tanzania Blog Award, mnatoa support kubwa sana kwa blogger, nawashauri na blogger wengine waingie katika directory hii ili waweze kutambulika zaidi na zaidi. Kazi njema.Sweetbert Philemonhttp://thelakezonelink.blogspot.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-182521689019734478.post-47905084162636839972013-02-08T02:12:00.932-05:002013-02-08T02:12:00.932-05:00Nimeshukuru sana aina hii ya kuwatambulisha wanabl...Nimeshukuru sana aina hii ya kuwatambulisha wanablo na blog zao, sijui kama inawezekana, kwani inahitaji utalaamu zaidi, ....wa kuwakutanisha wanablog `kimtandao' zaidi ya mmoja..huko ulaya inawezekana au? Ni wazo tu mpendwaemuthreehttps://www.blogger.com/profile/04980773085924678729noreply@blogger.com